ZAIDI ya walimu 200 wa shule za msingi na sekondari za Manispaa za Kinondoni, Dar es Salaam jana wameandamana hadi katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa hiyo wakitaka kutekelezewa madai mbalimbali wanayoidai manispaa hiyo, zikiwamo fedha za likizo pamoja na kupandishwa madaraja.
Walimu hao wa shule za msingi na sekondari walinza kuandamana saa 5.00 asubuhi katika Ofisi za Chama cha
↧