Chama cha wananchi CUF kimemtaka waziri wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu
TAMISEMI Hawa Ghasia kuachia ngazi kwa kusababisha vurugu katika zoezi
la kuapisha wenyeviti wa serikali za mitaa nchini.
CUF
kimesema Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
TAMISEMI kimechangia kwa kiasi kikubwa kuvurugika kwa zoezi la
kuwaapisha Wenyeviti wa serikali za mitaa jijini Dar es
↧