Wizara ya Kazi na Ajira nchini Tanzania itatenga shilingi Bilioni 3 za
kitanzania kwa ajili ya mafunzo ya ujasiriamali kwa vijana ili waweze
kujiajiri na kujiinua kiuchumi na kuachana na kukaa vijiweni na kujiunga
na vikundi vya kihalifu.
Akizungumza
na Mpekuzi, Naibu Waziri wa Kazi na Ajira Mh. Dkt. Makongoro Mahanga
amesema tatizo la ajira nchini ni kubwa lakini wizara yake
↧