Jeshi la polisi nchini limetoa onyo kwa baadhi ya wananchi ambao
wamekuwa wakifanya fujo katika zoezi la uapishwaji viongozi wa Serikali
za mitaa kwa madai kuwa hawakushinda kihalali katika uchaguzi huo jambo
ambalo ni kinyume cha sheria, kanuni na taratibu za nchi.
Kauli hiyo imetolewa na Msemaji wa Jeshi la polisi SSP-Advera
Bulimba ambapo amesema kuwa Jeshi la Polisi kamwe
↧