Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimelaani vikali vurugu zilizofanywa
na wafuasi wa Chadema na CUF kwa viongozi wa serikali za mitaa katika
maeneo kadhaa nchini ikiwemo mikoa ya Mwanza, Dar es Salaam na Mbeya.
Akizungumza na waandishi wa habari Katibu wa NEC;
Itikadi na Uenezi CCM taifa, Nape Nnauye amesema vurugu hizo mbali na
kuhatarisha na kuharibu mali pia zilizosababisha baadhi ya
↧
CCM yalaani vurugu zilizofanywa na Wapinzani wakati wa kuapishwa kwa Wenyeviti wa Serikali za mitaa
↧