Watu wanne wamefariki dunia papo hapo na wengine 20 kujeruhiwa vibaya baada ya basi la abiria la Panuel Express kugongana uso kwa uso na lori.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Ramadhani Mungi, akizungumza na Mpekuzi jana alisema ajali hiyo ilitokea jana eneo la Idetero wilayani Mafinga saa 4:45 asubuhi.
Alisema basi hilo lenye namba za usajili T 969 BCD, lililokuwa likitoka mkoani
↧