Kamanda wa polisi mkoani Shinyanga, Justus Kamugisha
****
Askari polisi wa kituo kikuu cha Shinyanga aliyefahamika kwa jina moja la Alex, amewekwa korokoroni akituhumiwa kumbaka mwanafunzi wa kidato cha kwanza , mkazi wa kata ya Ngokolo mjini hapa na kumsababishia maumivu makali sehemu za siri.
Kamanda wa polisi mkoani Shinyanga, Justus Kamugisha, alithibitisha kutokea kwa tukio hilo
↧