Idadi ya vijana wanajihusisha na kundi la uhalifu maarufu kama ‘panya road’ imeongezeka na kufikia 1,289 kwa mikoa yote mitatu mkoani Dar es Salaam.
Kati yao vijana 163 toka katika manispaa za Temeke na Kinondoni wamefanyiwa uchunguzi, na muda wowote kuanzia sasa wanatarajiwa kufikishwa mahakamani.
Vijana hao waliokamatwa ni pamoja na wapiga debe katika vituo vya daladala, wacheza
↧