Mkazi wa kijiji cha Nakachindu kata ya Mkundi Halmashauri ya wilaya ya Masasi, Asumini Bakiri (39) amefikishwa mahakamani kujibu shitaka la mauaji linalomkabili la kumuua mumewe, Simoni Simoni (45).
Alifikishwa mahakamani jana na kusomewa shitaka lake na Mwendesha Mashtaka, Iddi Shabani mbele ya Hakimu wa Mahakama ya wilaya ya Masasi, Halfani Ulaya.
Alidai kuwa mshtakiwa huyo,
↧