Waziri Mkuu Mizengo Pinda amekanusaha tuhuma mbalimbali zinazotolewa
dhidi yake kupitia mitandao ya kijamii kuwa anahusika na kashfa ya
uingizaji wa sukari kutoka nje ya nchi ambayo inadaiwa kumpatia
mabilioni ya fedha.
Pinda
amesisitiza kuwa ikiwa vyombo vya sheria vitachunguza na kumtia hatiani
yuko tayari kwa adhabu yoyote ikiwemo kufungwa gerezani.
Akiwahutubia wananchi wa
↧