Kesi ya ugaidi inayowakabili viongozi 23 wa Jumuiya ya Uamsho
na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI) katika Mahakama ya Hakimu
Mkazi Kisutu sasa kusikilizwa na Hakimu Mkazi Janeth Kaluyenda.
Awali
kesi hiyo ambayo itatajwa Januari 13,2015 kwa ajili ya kuangalia kama
upelelezi utakuwa umekamilika ama la ilikuwa ikisikilizwa na Hakimu
Mkazi, Hellen Liwa ambaye hata hivyo alijitoa.
↧