Kundi la wapiganaji wa Kiislamu la Iraq na Syria (ISIS)
limetekeleza mauji mengine ya kutisha kwa kumkata kichwa mwandishi mwingine wa habari wa
Marekani.
Mwandishi huyo aliyetajwa kwa
jina la Steven Sotloff mwenye umri wa miaka 31 alitekwa na wapiganaji hao mwezi August mwaka jana.Mwezi uliopita Sotloff alionekana mwishoni katika picha za video
zilizoonyeshwa kuhusiana na
↧