Malkia wa muziki wa R&B, Lady Jay Dee amedai kuwa maadui
zake wamebuni njia mpya ya kumwangusha, baada ya zile za awali
kutofanikiwa.
Katika waraka mrefu aliouandika katika mtandao wa
facebook, Lady Jay Dee alisema watu wasiopenda mafanikio yake wamekuwa
wakitumia mbinu mbalimbali kumwangusha, lakini hata hivyo wameshindwa.
Jay Dee analalamikia habari iliyoandikwa juu yake
kuwa
↧