Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge),
William Lukuvi amejikuta katika wakati mgumu mbele ya Rais Jakaya
Kikwete baada ya kuzomewa hadi kukatisha hotuba yake akipingwa na
wananchi pamoja na madiwani wa CCM wa Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma
alipokuwa akitetea kuwapo kwa Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu (CDA).
Lukuvi alikumbana na mkasa huo wakati akijibu
↧