Kufuatia tukio la vurugu kubwa zilizotokea wakati wa show ya Diamond
Platinum huko Stuttgart, Ujerumani, promota wa kampuni ya Britts event
ameutumia ujumbe uongozi wa Diamond.
Akiongea na The Jump Off ya 100.5 Times Fm, Babu Tale ameeleza kuwa
promota huyo amewatumia barua pepe kuwaomba radhi na wao wamemuelewa na
kumsamehe.
“Promota ametupigia simu kuapologize ametuma na email,
↧