Nyani mmoja katika jimbo la Himachal Pradesh Kaskazini ya India, amewagawia watu pesa taslimu kutoka mtini.
Taarifa zinasema kuwa watu waliokuwa
wanajivinjari katika mji wa Shimla jimboni humo, walianza kukimbia huku
na kule wakiokota pesa zilizokuwa zinarushwa na Nyani huyo kutoka juu ya
mti kwa karibu saa moja.
Walioshuhudia tukio hilo walisema
kuwa Nyani huyo kwa jina Simian
↧