MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta, amewashukia wanasiasa wanaomkejeli kwa kudai kuwa hafai kuwa rais na amesisitiza kwamba wenye maamuzi juu ya suala hilo ni wananchi na si vinginevyo.
Sitta alitoa kauli hiyo jana bungeni mjini Dodoma wakati akitoa taarifa juu ya utaratibu wa kupokea mawasilisho ya kazi zilizofanywa na Kamati za Bunge Maalum la Katiba.
Alisema wapo
↧