WAZIRI wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Christopher Chiza, nusura atokwe na machozi baada ya kukuta bwawa la umwagiliaji lililojengwa kwa zaidi ya sh. bilioni 3 limebomoka.
Hali hiyo ilimfanya awaweke kitimoto wahandisi wa Ofisi ya Umwagiliaji Kanda ya Mbeya.
Alisema ujenzi wa bwawa hilo ambalo lilikuwa linatarajiwa kutumiwa na wananchi zaidi 6,000 umejaa harufu ya ufisadi, hivyo
↧