Kampuni ya Britts Event iliyohusika kuandaa show ya Diamond
Stuttgart, Ujerumani imeeleza kwa kina kiini cha vurugu kubwa
zilizotokea kwenye show hiyo na kusababisha uharibifu mkubwa huku baadhi
ya watu wakijeruhiwa vibaya.
Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni hiyo, Awin Williams Akpomiemie
ameeleza kwa kina kuhusu mzozo uliokuwepo ndani ya kampuni hiyo
ulioathiri show hiyo kwa ujumla.
↧