Idara ya upelelezi ya nchini marekani FBI imetoa tamko kuwa inachunguza kwa ukaribu madai ya maelfu ya accounts za watu maarufu
kutekwa,na kinachotafutwa hasa ni picha za utupu za watu hao maarufu
ambazo zimekua zikianikwa mitandaoni bila ya muwekaji kujulikana.
Katika tamko la FBI liliripotiwa na NBC News, wameeleza kuwa walikuwa
wanafahamu kuhusu vitendo vya wezi wa njia za mtandao
↧