Jeshi la polisi wilayani Kahama mkoani Shinyanga Jana lililazimika kutumia risasi za moto baada ya wananchi kujichukulia sheria mkononi kwa kuua watuhumiwa kisha kuwachoma moto.
Inasemekana watuhumiwa hao walivamia chumba ya mkazi mmoja wa mtaa wa Muhungula Kahama na kujeruhi kwa mapanga watoto wawili usiku wa kuamkia jana.
Kwa mujibu wa habari kutoka wilayani Kahama, juzi usiku
↧