Mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi miwili , Regina Geofrey ameuawa kikatili kwa kunyongwa na baba yake mzazi Geofrey Kilngwa ‘Simbaiwe” (27) kwa kuwa alizaliwa akiwa ameatanguliza makalio yake .
Baba wa binti huyo ambaye pia ni mganga wa kienyeji anayeishi kitongoji cha Mwikang’ombe, kijijicha cha Katuma ,wilayani Mpanda alitenda unyama huo kwa madai kuwa mtoto
↧