UCHUNGUZI wa awali kuhusu kupotea kwa ndege ya mizigo ya Shirika la Safari Express ya nchini Kenya, umeonesha kuwa ndege hiyo yenye usajili namba 5Y SXP, aina ya Fokker 27, imepata ajali.
Taarifa ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), iliyotumwa jana jioni katika vyombo vya habari, imeonesha kuwa ndege hiyo iliyopoteza mawasiliano juzi usiku, imeonekana ikiwa imeanguka katika
↧