U heard ya XXL Clouds FM alizipata stori
kutoka kwa shuhuda kwamba juzi March 13 2014 kulitokea ugomvi studio
baada ya Ommy Dimpoz kupost picha akiwa studio na Diamond na mwimbaji
Mkenya Victoria Kimani ambae amewahi kuingia kwenye kashifa kwamba ana
uhusiano wa kimapenzi na Diamond.
Shuhuda anasema tatizo lilikuja baada ya video hiyo kusambaa na kumbe
Diamond hakumuaga mpenzi wake
↧