STAA wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa kama
siku yoyote atapata ujauzito kwa bahati mbaya, hatafanya kosa tena,
atazaa tu. Katika mahojiano maalum na gazeti la Ijumaa, Lulu alisema
kwa sasa yuko tayari kuolewa ili awe na familia yake ila si kwa sharti
la mwanaume husika kumwambia amzalie kisha ndiyo amuoe.
Ijumaa: Kwani kwa sasa si una mpenzi?
Lulu: Ndiyo ila
↧