Msanii maarufu Bongo Movies, Irene Paul amefunguka kuwa
kwenye suala la uhusiano, hana kipingamizi sana kwani anachoangalia ni
mtu anayempenda haijalishi dini wala kabila.
Akizungumza na Gpl jijini Dar, Irene alisema
licha ya kuwa bado hajamuanika mpenzi wake lakini suala la dini, kabila
kwake siyo ishu ya msingi zaidi anaangalia mapenzi ya dhati.
“Naangalia tu, mtu
↧