Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea kwa furaha na Waziri Mkuu Mhe.
Mizengo Pinda, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi
pamoja na Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe John Sitta, Makamu
Mwenyekiti wa Bunge hilo Mhe. Samia Suluhu Hassan, Katibu wake Mhe.
yahaya Khamis Hamad na Naibu Katibu Dkt Thomas Kashilia na Mawaziri Mhe
John Lukuwi na Mhe. Aboud, baada ya zoezi
↧