Polisi katika Mkoa wa Iringa, imepiga marufuku matumizi ya
helkopta siku ya uchaguzi mdogo wa Kalenga, kwa madai kuwa kufanya hivyo
ni sawa na kupiga kampeni.
Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Ramadhani Mungi
alitoa kauli hiyo jana wakati akitoa taarifa ya hali ya usalama tangu
kampeni zilipoanza hadi sasa kwa vyombo vya habari.
Mungi alisema
↧