Na Mohammed Mhina, wa Jeshi la Polisi-Dodoma
Jeshi
la Polisi nchini limebuni mikakati itakayosaidia kukomesha ajali za
barabarani kwa kuvishirikisha vikosikazi vya Polisi Jamii
vilivyotawanywa katika kila kata na tarafa nchini kote.
Mikakati
hiyo imetangazwa na Kamishna wa Polisi Jamii CP Mussa Ali Mussa, wakati
wa mafunzo ya maadili awamu ya pili yanayotolewa kwa Askari Polisi
↧