MGOMBEA
Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi,
Ridhiwani Kikwete leo amerudisha fomu ya kugombea ubunge wa jimbo la
Chalinze kupitia tiketi ya chama cha Mapinduzi, akisindikizwa na washindani wake katika kura za maoni, Mkuu wa Wilaya ya Kigoma, Ramadhan Maneno pamoja na Imani Madega.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi,
↧