Taarifa kutoka Mtwara ambazo zimethibitishwa na jeshi la Polisi zinaarifu kuhusu Mtumbwi ambao umezama wakati ukivuka kutoka kitongoji cha Ng’wale
kwenda ng’ambo ya pili ambapo ndiyo sehemu waliyokuwa wanashukia abiria
waliokuwepo.
Tayari watu 21 wamefikishwa katika hospital ya mkoa wa Mtwara kwa
matibabu ambao wote ni wakina mama pamoja na mtoto mmoja wa kiume wa
mwaka 1 huku
↧