Mimi FABIAN L. SKAUKI, mgombea ubunge wa uchaguzi mdogo jimbo la
CHALINZE kwa Ticket ya THE CIVIC UNITED FRONT (CUF) ninamwekea Pingamizi
mgombea wa chama cha demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwamba amepoteza
sifa za kuwa mgombea kwa sababu zifuatazo.
Ndugu MATHAYO. M. TORONGEY amejaza Taarifa za uongo kwenye Fomu yake kwamba kazi anayoifanya ni BIASHARA. Sio kweli, kwa sababu
↧