Kilio kikubwa cha Wema Isaac Sepetu ni kupata mtoto, Habari
zilieleza kuwa Wema amekuwa na kiu ya mtoto kwa muda mrefu na kwamba
alishakuwa na wanaume tofauti lakini hawakumpatia mtoto.
Ilisemekana kwamba katika msururu wa wanaume aliominyanao kimalavu,
iliwahi kuripotiwa kuwa ni mwanaume mmoja tu aliyefanikiwa kumpa
ujauzito lakini kwa bahati mbaya mimba ilichoropoka.
Mwanaume
↧