Msanii mkongwe Bongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’ amesema licha ya kuwa
bado hajaolewa lakini atakayemuoa atafaidi mapishi yake kwani ni fundi
wa kupika.
Maya alifunguka hayo juzikati wakati mwandishi wetu alipombananisha
juu ya uwezo wake kwenye ‘sekta’ ya mahanjumati ndipo alipofunguka kuwa
yeye ni hodari katika eneo hilo.
“Wee… mi noma katika mapishi, siwezi kuachika kwa sababu ya
↧