Leo March 07 Kamati ya maudhui ilikua na kikao cha kusoma uamuzi dhidi
ya vituo vilivyokiuka kanuni za utangazaji. Akisoma uamuzi huo mbele ya
waandishi wa Habari, Mwenyekiti wa Kamati maudhui ya Tcra mama Magreth
Mnyagi amevigusia vituo vitatu vilivyokiuka kanuni hizo.
Vituo vilivyopewa onyo hilo ni vituo vinavyomilikiwa na Ipp pamoja na
Sahara Media ambayo kwa Ipp onyo limepewa kituo
↧