Mgombea
kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo jimbo la Kalenga, Iringa
Vijijini, Godfrey Mgimwa (wapili kushoto), Mwenyekiti wa CCM mkoa wa
Iringa Jesca Msambatavangu na Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Bara Mwigulu
Nchemba, wakiserebuka na wananchi baada ya kuwasili katika Kijiji ya
Kibebe Kata ya Ulanda kwa ajili ya mkutano wa kampeni, jana.
Mgombea
kwa tiketi ya CCM katika
↧