Uzinduzi wa taasisi ya marehemu Steven Kanumba ijulikanayo kwa
jina la Kanumba The Great Foundation utafanyika Aprili 7 kwenye ukumbi
maarufu wa Dar Live uliopo Mbagala, jijini.
Uzinduzi huo utaenda sambamba na maadhimisho ya miaka miwili
tokea kufariki kwa marehemu Kanumba ambaye alifariki dunia Aprili 7.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Mama mzazi wa
↧