$ 0 0 Nicki Minaj anataka umuone akiwa anaoga bafuni. Jumatano ya wiki hii, rapper huyo alipost picha kadhaa kwenye Instagram akiwa mtupu bafuni akioga. Nicki hakuandika chochote kwenye picha hizo. Zitazame picha hizo hapa. <!-- adsense -->