Wasanii wa muziki Shilole na Nuhu Mziwanda wameamua kuweka wazi uhusiano
wao wa kimapenzi na kudai kuwa wapo tayari kufunga ndoa.
Wakizungumza na U
heard ya XXL, Clouds FM juzi,Shilole na Nuhu wamesema wanapendana sana na
wamekuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa zaidi ya miezi mitatu sasa.
“Tunajipanga mambo fulani yakae sawa pamoja na mke.Ki
kweli tuna kama miezi miwili
↧