Wananchi
kadhaa wameeleza kusikitishwa na mwenendo wa Bunge Maalumu la Katiba,
huku wakimtaka Rais Jakaya Kikwete aikemee hali hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk.
Hellen-Kijo Bisimba, amesema, ni aibu kwa kinachoendelea katika bunge
hilo.
“Leo (jana) niliacha kazi zangu na kujipa muda wa kuangalia shughuli ya
hilo bunge na kwa kweli
↧