Moto
huo unaotajwa chanzo chake kusababishwa na jiko la gesi ulilipuka na
kuiteketeza kabisa nyumba hiyo ikiwa na furniture zake.
Huku
baadhi yao wakiwa wamejitosa kufanya uokoji wa mali, wananchi wengine
kama kawaida yao walikimbilia eneo la ajali kushuhudia moto huo
uliokuwa ukivuma kuashiria hatari na eneo hilo si salama.
Moto ukipamba moto
↧