MAHAKAMA ya Wilaya ya Geita imemhukumu Selemani Nkwenda (36) kwenda
jela mwaka mmoja baada ya kumtia hatiani kwa kutapeli watu kwa kutumia
jina la Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape
Nnauye.
Akisoma hukumu hiyo jana, Hakimu wa mahakama hiyo, Zablon Kesase,
alisema ameridhika pasipo shaka kwamba mtuhumiwa alitenda kosa hilo.
Alisema mtuhumiwa huyo
↧