Dereva
wa Bodaboda, akiwa na abiria wake, wakinyanyua miguu kukwepa kulowa na
maji ya mvua yaliyofurika kwenye barabara ya Mbozi, Chang'ombe jijini
Dar es Salaam jana. Mvua ya siku mbili tu tayari imeanza kuleta
kasheshe, si kwa wenye magari pia wenye bodaboda, watembea kwa miguu.
Mto Msimbazi ukionekana Alhamisi Machi 6, 2014 baada ya mvua ya siku mbili jijini Dar es Salaam
↧