Mtu mmoja amefariki dunia na wengine 14
kujeruhiwa baada ya basi dogo kugongana uso kwa uso na lori katika eneo
la Bwawani Barabara ya Chalinze - Morogoro.
Ajali hiyo ilitokea jana saa 4.30 asubuhi baada ya
basi hilo aina ya Toyota Coaster lililokuwa likitokea Dar es Salaam
kwenda Ifakara kugongana na lori la mafuta lililokuwa likitoka Morogoro
kuelekea Chalinze.
Kamanda wa
↧