CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeanza mchakato wa
kutafuta mgombea wa kuwania nafasi ya ubunge katika Jimbo la Chalinze,
ambapo jana fomu za kuwania nafasi hiyo kupitia chama hicho zilianza
kutolewa.
Tayari Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilishaanza mchakato wa kutafutia
mgombea wa kuwania nafasi hiyo, ambapo Ridhiwani Kikwete, alishinda kura
ya maoni ya wanachama wa
↧