NDUGU wawili wa kiume wa familia moja
wilayani Mlele mkoa wa Katavi, wanatuhumiwa kumuua mpenzi wa mama yao
kwa kumchinja, kisha kutelekeza mwili wake porini.
Wakazi hao ambao mmoja ni mtoto mwenye
umri wa miaka 16 ni wakazi wa Kitongoji cha Milumba Kata ya Kibaoni na
aliyeuawa ni Kitungulu Luhende (65).
Inadaiwa mama yao, Sai Mponje (65) ambaye
ni mjane anayeshikiliwa na polisi
↧