Uamuzi wa bodi ya Filamu Tanzania (TFB) kuizuia filamu ya
muigizaji wa kiume na mkongwe, Dk Cheni ‘Nimekubali Kuolewa’, kwa madai
ya kukiuka maadili na kuchochea tabia za ushoga, umepingwa na msanii
huyo ambaye anaamini kabisa kuwa maudhui ya filamu hiyo yangeelimisha
jamii zaidi ya picha katika cover yake.
Dk Cheni ameiambia Global Publishers kuwa picha iliyoko kwenye bango
la
↧