Wakati tunaelekea katika ile siku inayoaminika kuwa siku ya
wapendanao ‘Valentine’s Day’, mkali wa Valuvalu Jose Mayanja Chameleone
ameamua kumuonesha mkewe Daniella na dunia nzima jinsi anavyompenda, kwa
kujichora tattoo yenye jina lake shingoni.
Chameleone ambaye yuko nchini Afrika Kusini kwa shughuli za kimuziki,
alipost picha hizo kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook, picha
↧