Baada ya msanii wa Candy n Candy, Baby Madaha kufunguka
akimchana wazi msanii mwenzake wa kike, Shilole kwa
kudai kuwa nyimbo zake haziwezi kulinganishwa na nyimbo anazofanya
Shilole, Shilole nae kakikalia kiti kile kile na kuyajibu makavu hayo.
Shilole amedai kuwa hawezi kupoteza muda kumzungumzia Baby Madaha, na
kwamba yeye anaamini hana tatizo naye lakini anashangaa kuona
↧