Mkuu wa jeshi la polisi nchini
**
via Imma Matukio — Jambazi mkuu anayetuhumiwa kujihusisha na matukio
ya mauaji na unyang'anyi wa kutumia silaha yaliyo tokea Wilayani Tarime
kuanzia 26 hadi 28.01.2014 amekamatwa na jeshi la polisi jioni ya Tarehe
06.02.2014 mkoani Tanga.
Akisimulia kukamatwa kwa jambazi huyo
Kamanda wa mkoa wa kipolisi Tarime/Rorya Justus Kamugisha amesema kuwa
↧